Viongozi wa kidini watakiwa kushirikiana na serikali katika vita dhidi ya upotovu wa maadili

  • | KBC Video
    33 views

    Rais William Ruto amewataka viongozi wa kidini pamoja na madhehebu mbalimbali kushirikiana na serikali katika vita dhidi ya upotovu wa maadili katika jamii ukiwemo uraibu wa pombe na mihadarati pamoja na ujambazi katika maeneo kadhaa humu nchini. Ruto aliyezungumza wakati wa awamu ya 24 ya mkutano mkuu katika kanisa la PCEA la Mtakatifu Andrea jijini Nairobi, pia alisema uchunguzi kuhusu sakata ya mbolea ghushi unaendelea na watakaopatikana na hatia watakabiliana na mkono wa sheria.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1tv Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #KBCchannel1 #Kenya #News