Viongozi wa kidini wawashauri wakenya kutangamana

  • | Citizen TV
    282 views

    Wakenya kutoka imani mbalimbali zikiwemo dini za kikristo, uislamu, hindu pamoja na zile za kitamaduni wakiongozwa na wazee wa kaya wamewashauri wakenya kuishi kwa uwiano na kueneza amani nchini.