Viongozi wa Kiislamu kaunti ya Kilifi wataka uchaguzi wa SUPKEM uandaliwe

  • | Citizen TV
    46 views

    Viongozi wa Kiislamu katika Kaunti ya Kilifi wametoa wito kwa Baraza Kuu la Waislamu nchini(SUPKEM) kuandaa uchaguzi wa kitaifa mara moja