Viongozi wa Kiislamu wametoa wito kwa viongozi wa kisiasa kustahimiliana na kuheshimniana

  • | KBC Video
    9 views

    Viongozi wa Kiislamu wametoa wito kwa viongozi wa kisiasa kustahimiliana na kuheshimniana licha ya mvurugano kati ya mwakilishi wa sasa wa kina mama na aliyekuwa mwakilishi wa kina mama katika kaunti hiyo.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1tv Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #KBCchannel1 #Kenya #News