Viongozi wa kijamii wakutana Kenya kujadili njia za kiasili za kuhifadhi mazingira na wanyama

  • | VOA Swahili
    206 views
    Kufuatia ukame mkubwa ulioangamiza zaidi ya mifugo na wanyama pori milioni 10 katika eneo la Pembe ya Africa, viongozi wa kijamii kutoka mataifa ya Afrika Mashariki na Kati wamekutana Kenya kujadili njia za kiasili za kuhifadhi mazingira pamoja na wanyama. Mkutano huo unalenga kuimarisha njia za kitamaduni katika vita dhidi ya mabadiliko ya hali ya hewa. Juma Majanga anaripoti kamili kutoka Amboseli, Kenya. Endelea kusikiliza... #ukame #mifugo #wanyamapori #pembeyaafrika #viongozi #kijamii #afrikamashariki #mazingira #voa #voaswahili - - - - - #VOASwahili Sauti ya Amerika - Idhaa ya Kiswahili inawafikia zaidi ya watu milioni 100 wanaotembelea tovuti, mitandao ya kijamii, radio na televisheni zetu. Tunawasilisha maudhui kuhusu Afrika Mashariki na Kati kwa nchi takriban 11 huko Afrika na wale walioko ughaibuni na kwingineko duniani. Vipindi vyetu vimejikita katika maudhui mbalimbali ikiwemo habari, vijana, wanawake, siasa, sayansi, teknolojia, afya, biashara, michezo, muziki na burudani na pia tunawashirikisha wasikilizaji wetu.