Viongozi wa kike kutoka jamii ndogo watoa wito wa kuunga mkono mchakato wa BBI kwa manufaa ya taifa

  • | KBC Video
    Viongozi wa kike kutoka jamii ndogo wametoa wito kwa wale wanaopinga mchakato wa marekebisho ya kikatiba wa BBI,kubadili msimamo wao na badala yake kuunga mkono mchakato huo kwa manufaa ya taifa hili. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1news Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #KBCchannel1 #KBCNewsHour #KBClive