Viongozi wa Kike wa Kenya Kwanza wamtaka Rais Ruto kuzidisha vita dhidi ya ufisadi

  • | Citizen TV
    786 views

    VIONGOZI WA KIKE Kutoka MRENGO WA KENYA KWANZA WANAMTAKA RAIS KUZIDISHA VITA DHIDI YA UFISADI SI TU KATIKA BUNGE LA KITAIFA BALI PIA KATIKA SERIKALI KUU NA HATA IDARA YA MAHAKAMA. VIONGOZI HAO WAKIWA KAUNTI YA NAKURU WAMESEMA KUWA UFISADI UMEKUWA Ukinyima SERIKALI pesa nyingi