Viongozi wa kike wazungumzia changamoto wanazopitia

  • | Citizen TV
    233 views

    Viongozi wa kike wametaja unyanyasaji wa wanawake mitandaoni na kutaja vurugu zinazotokana na uchaguzi kama vizuizi kwa wanawake wanaotafuta nafasi za uchaguzi.