Viongozi wa kisiasa Kisii wataka haki kwa waathiriwa wa GEN Z

  • | Citizen TV
    126 views

    Baadhi ya viongozi wa kisiasa kutoka eneo la Gusii wamesisitiza kwamba sharti waliotekeleza mauaji ya vijana wa GEN Z wachukuliwe hatua za kisheria, hata kabla serikali kutekeleza mpango wa kufidia familia zilizoathitika