Viongozi wa KMPDU wafanya kikao na wizara ya leba

  • | Citizen TV
    869 views

    Mkutano kati ya Muungano wa Madaktari KMPDU na wawakilishi wa serikali kuu katika afisi za wizara ya Leba umetibuka Kwa muda, baada ya wakuu wa Madaktari kulalamikia kutotekelezwa Kwa maelewano maalum ya uajiri Kama yalivyowasilishwa kwenye mkataba wa 2017. Aidha, KMPDU imetangaza kwamba mgomo wa wahudumu wa Afya ungalipo.