Viongozi wa KUPPET walalamikia serikali kwa kuwapuuza

  • | Citizen TV
    92 views

    Shule zinapoanza kufunguliwa kwa muhula wa tatu naibu mweka hazina wa kitaifa wa chama cha KUPPET Ronald Tonui ameibua haja ya kutimizwa kwa ahadi ya serikali ya kuongeza Walimu mishahara kupitia tume ya kuajiri walimu