26 Aug 2025 10:33 am | Citizen TV 262 views Duration: 1:11 Shule zinapoanza kufunguliwa kwa muhula wa tatu naibu mweka hazina wa kitaifa wa chama cha KUPPET Ronald Tonui ameibua haja ya kutimizwa kwa ahadi ya serikali ya kuongeza Walimu mishahara kupitia tume ya kuajiri walimu