Viongozi wa Lamu wahimiza maridhiano miongoni mwa wakaazi

  • | Citizen TV
    144 views

    Majadiliano ya kuunganisha jamii zote za kaunti ya lamu yanaendelezwa na viongozi wa lamu ili kuleta uwinao, amani na usalama miongoni mwa wakaazi. Hii ni kufuatia mashambilizi ya kigaidi ambayo yameshuhudiwa maeneo ya mashambani yaliyopelekea mgawanyiko baina ya jamii ,jamii moja ikidai ni jamii nyengine iliyohusika kutekeleteza mashambulizi hayo.