Skip to main content
Skip to main content

Viongozi wa Linda Mwananchi wafika makao makuu ya DCI

  • | Citizen TV
    61,374 views
    Duration: 7:38
    Viongozi wa Linda Mwananchi wamefika katika makao makuu ya Mkurugenzi wa Upelelezi wa Makosa ya Jinai (DCI) jijini Nairobi kuwasilisha malalamishi rasmi kuhusu ghasia zilizoshuhudiwa wakati wa shughuli zao za kisiasa.