Viongozi wa Magharibi mwa nchi waagiza Rais Ruto kushugulikia uchumi

  • | TV 47
    21 views

    Viongozi wa kidini kutoka Magharibi ya nchi wanamtaka Rais William Ruto kuangazia kilio cha wakenya kuhusu kupanda kwa gharama ya maisha nchini, wakisema kuwa hali ya uchumi inazidi kuwalemea wakenya na kwamba pana haja ya hatua za dharura kutoka kwa serikali kuu.

    #UpeoWaTV47

    __

    Thank you for watching this video. Kindly subscribe for more content from 'Home of The Untold Stories.'

    *About TV47* 'TV47 is on GOtv (Channel 102), DStv (Channel 268), SIGNET, Gotv, BAMBA and STARTIMES. __ For Breaking News, kindly subscribe by sending ‘NEWS’ to 22047. __

    Connect with us:

    Website: https://www.tv47.digital/ Facebook: https://www.facebook.com/TV47KE Twitter: https://twitter.com/tv47news Instagram: https://www.instagram.com/tv47ke/ TikTok: https://www.tiktok.com/@tv47_ke Telegram: https://t.me/tv47_ke WhatsApp: 0797 047 047 __