Viongozi wa magharibi wapinga kuongezwa kwa muhula wa urais

  • | TV 47
    60 views

    Viongozi wa kisiasa kutoka mrengo wa kenya kwanza wakiongozwa na mkuu wa mawaziri Musalia Mudavadi wameitetea serikali kutokana na madai ya mrengo wa upinzani kuwa serikali imesababisha gharama ya maisha chini kupanda. Wakizungumza katika ibada ya kanisa la katoliki, shikulu eneo bunge la Shinyalu, viongozi hao walisisitiza kuwa kupanda kwa gharama ya maisha nchini ni tatizo linalokabili dunia nzima. __

    Thank you for watching this video. Kindly subscribe for more content from 'Home of The Untold Stories.'

    *About TV47* 'TV47 is on GOtv (Channel 102), DStv (Channel 268), SIGNET, Gotv, BAMBA and STARTIMES. __ For Breaking News, kindly subscribe by sending ‘NEWS’ to 22047. __

    Connect with us:

    Website: https://www.tv47.digital/ Facebook: https://www.facebook.com/TV47KE Twitter: https://twitter.com/tv47news Instagram: https://www.instagram.com/tv47ke/ TikTok: https://www.tiktok.com/@tv47_ke Telegram: https://t.me/tv47_ke WhatsApp: 0797 047 047 __