Viongozi wa magharibi wazidi kuhimiza umoja wao

  • | Citizen TV
    1,364 views

    viongozi wa magharibi wamehimiza umoja wa jamii za eneo hilo wakisema kuwa wakati umewadia kwa jamii ya mulembe kumuunga mkono mmoja wao kuliongoza taifa. wakizungumza kanisani katika eneo la luanda, kaunti ya Vihiga, viongozi hao wameelezea ari ya kuzika tofauti zao za kisiasa na kuungana ili kufika kileleni. aidha wamekosoa mswada wa fedha wa mwaka 2024 wakisema kuwa utawakandamiza wananchi kwa kuwatoza ushuru zaidi.