12 Sep 2025 10:49 am | Citizen TV 142 views Duration: 2:20 Kutokana na kuongezeka kwa visa vya wasichana kunajisiwa,na watu tofauti tofauti, viongozi wa makanisa kutoka kata dogo la Mumoni kaunti ya Kitui wameanzisha juhudi za kusaidiana na selikali ili kumaliza visa hivyo.