Viongozi wa makanisa waendelea kulaani mauaji ya Albert Ojwang na polisi

  • | Citizen TV
    2,237 views

    Haki Kwa Albert Ojwang Viongozi Wa Makanisa Waendelea Kulaani Mauaji Haya Makanisa Yanataka Waliohusika Na Mauaji Kuadhibiwa Ibada Ya Kumkumbuka Imeandaliwa Kaunti Ya Kisumu Viongozi Wa Kisiasa Wataka Waliohusishwa Kujiuzulu