Viongozi wa makanisa walalamikia matukio ya punde ya uchomaji makanisa Nyeri

  • | Citizen TV
    199 views

    Viongozi wa kidini kutoka eneo la Kieni kaunti ya Nyeri, wamezirai asasi za usalama kuwasaka na kuwakamata watu ambao wamechoma makanisa katika Kijiji cha Munyu