Viongozi wa makanisa waomba wanasiasa kutoingiza siasa kwenye maswala ya elimu

  • | Citizen TV
    388 views

    VIONGOZI WA MAKANISA SASA WANAITAKA SERIKALI NA WANASIASA KUTOINGIZA SIASA KWENYE SWALA LA ELIMU NCHINI. VIONGOZI WA KANISA KATOLIKI NAIROBI WAMESEMA SIASA ZINAZOINGIZWA KWENYE ELIMU ZINATIA HOFU. HAYA YAMEJIRI HUKU WAZIRI WA ELIMU MIGOS OGAMBA AKISEMA SERIKALI IMEWEKA MIKAKATI YA KUTOSHA KUPATA FEDHA ZA ZIADA ILI KUONGEZEA BODI YA MIKOPO NA UFADHILI WA MASOMO YA JUU YA HELB