Skip to main content
Skip to main content

Viongozi wa makanisa waongoza matembezi ya amani Kitengela

  • | Citizen TV
    247 views
    Duration: 2:56
    Muungano wa makanisa mbali mbali katika mji Kitengela kaunti ya Kajiado wamejumuika kwenye Matembezi ya zaidi ya kilomita kumi kuadhimisha sikukuu ya Vibanda ambayo huandaliwa na wakristo kuhubiri amani kote duniani kwa siku saba. Kwenye matembezi hayo Viongozi wa makanisa walisisitiza haja ya kuzima vita kote ulimwenguni na kuhimiza mshikamano wa kijamii.