Viongozi wa miungano ya kutetea wafanyikazi kutoka Kisii wasema bajeti ya mwaka huu haijawaangazia

  • | Citizen TV
    1,426 views

    viongozi wa miungano ya kutetea wafanyikazi kutoka Kisii wana hisia mseto kufuatia kusomwa kwa bajeti ya kwanza chini ya serikali ya Kenya Kwanza hapo jana. baadhi wanalalamikia gharama ya juu ya maisha kwa wakenya.