Viongozi wa Murang'a walaani vitendo vibaya vya polisi

  • | Citizen TV
    403 views

    Viongozi wa Murang'a wamelaani tukio la hivi karibuni la polisi aliyeonekana akimpiga risasi muuzaji wa barakoa asiye na silaha jijini nairobi, wakati wa maandamano ya amani kudai haki kwa mwalimu Albert Ojwang aliyeuawa mikononi mwa polisi. Viongozi hao wakiwemo Mbunge wa Kangema Peter Kihungi, mbunge wa kiharu Ndindi Nyoro na mwakiliki wa kike betty maina, wanataka polisi waliohusika wachukuliwe hatua