Viongozi wa murang'a walaani vitendo vibaya vya polisi

  • | Citizen TV
    1,415 views

    Viongozi wa Murang'a wamelaani tukio la hivi karibuni la polisi aliyeonekana akimpiga risasi muuzaji wa barakoa asiye na silaha jijini nairobi, wakati wa maandamano ya amani kudai haki kwa mwalimu Albert Ojwang aliyeuawa mikononi mwa polisi