Viongozi wa Muranga watetea hatua ya naibu rais ya kushabikia umoja wa maeneo

  • | K24 Video
    15 views

    Viongozi pamoja na wakazi katika kaunti ya Murang’a wametetea hatua ya naibu rais ya kushabikia umoja wa maeneo. Viongozi hao wamesema kuwa kila kiongozi anapaswa kuwawakiilisha wakazi wa maeneo yao.