Viongozi wa na vijana wataka majadiliano ya kuleta amani

  • | Citizen TV
    97 views

    Siku chache baada ya maandamano yaliyofanyika maeneo mbalimbali nchini wiki Jana na kusababisha uharibifu mkubwa, wakazi na viongozi katika kaunti ya Murang'a wamehimiza vijana kukumbatia mazungumzo kama njia thabiti ya kutatua migogoro, badala ya maandamano na ghasia