Viongozi wa Nairobi watoa wito kwa wazazi kuwalinda watoto wao wakati wa likizo

  • | NTV Video
    65 views

    Huku wanafunzi wakiendelea na likizo fupi, viongozi wa Nairobi wametoa wito kwa wazazi kuwachunga watoto wao, hasa wa kike, kutokana na changamoto zinazowakumba na ambazo mara nyingi husababisha kushindwa kuhitimisha masomo.

    Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya