Viongozi wa Nakuru wakashifu maandamano ya upinzani

  • | Citizen TV
    1,152 views

    Viongozi wa mrengo wa kenya kwanza katika kaunti ya nakuru pamoja na wafanyibiashara wamekashifu maandamano ya upinzani katika eneo la nakuru magharibi na uharibifu wa mali ulioshuhudiwa kwenye siku ya kwanza ya maandamano , jumatano. Wakizingumza katika kaunti ya nakuru,viongozi hao wanasema kuwa wafanyibiashara wanakadiria hasara baada ya kufunga kazi zao na wengine kuporwa na wahuni.