Viongozi wa Nandi watoa wito wa amani kwa waandamanaji

  • | Citizen TV
    1,534 views

    Huku maandamano ya kushinikiza Serikali ya Kenya Kwanza kuwajibika yakiendelea,Viongozi mbalimbali kaunti ya Nandi wakiwemo wa kisiasa, baraza la wazee pamoja na Viongozi wa kidini wametoa wito kwa waandamanaji kusitisha maandamano hayo na kuruhusu mazungumzo kufanyika.