Viongozi wa ODM Magharibi wamshinikiza Raila Odinga kuwania Urais 2027

  • | West TV
    42 views
    Kiongozi wa chama cha ODM Raila Odinga amesema serikali ya kenya ya kwanza imewafeli wakenya na kuwashindwa kutekeleza ahadi walizowahidi msiku wa kampeni.