- 1,766 viewsDuration: 2:57Viongozi wa chama cha ODM walijumuika na wafuasi wao kaunti ya Homa Bay katika hafla ya kumkumbuka kinara wa chama hicho Raila Odinga. Hafla hiyo iliandaliwa na chama cha ODM kuwapa wenyeji wa eneo hilo nafasi ya kumuomboleza odinga huku viongozi hao wakisisitiza umoja wa chama hicho