- 5,256 viewsDuration: 2:44Viongozi wa ODM hii leo wameendelea kupigia debe masharti yao kabla ya ushirikiano wowote na chama cha UDA, katika uchaguzi mkuu wa mwaka ujao. Mweyekiti Gladys Wanga akisema sharti chama cha ODM kipate asilimia hamsini ya nyadhifa za serikali, pamoja na utekelezwaji wa ajenda kumi kama alivyoagiza hayati Raila Odinga. Viongozi hao walikashifu mrengo kinzani wa ODM wa Linda Mwanachi kwa kile wanasema ni kuwapotosha wakenya