Skip to main content
Skip to main content

Viongozi wa ODM wasilisha malalamishi DCI wakidai kulengwa kwa wafuasi wao

  • | Citizen TV
    7,016 views
    Duration: 3:13
    Wanasiasa wa mrengo wa ODM wa Linda Mwananchi wamewasilisha malalamishi kwa Idara ya Upelelezi wa Jinai (DCI) wakidai kulengwa kwa wafuasi wao. Malalamishi hayo yaliwasilishwa na Gavana wa Siaya James Orengo na Mbunge wa Embakasi East Babu Owino wakidai kuwepo kwa kitengo maalum cha polisi kuwalenga wafuasi wao Kisumu. Aidha, viongozi hao wamewalaumu maafisa wakuu wa usalama kwa mchipuko wa magenge.