Viongozi wa PCEA wadai ardhi yao inanyakuliwa na serikali

  • | Citizen TV
    657 views

    Viongozi wa kanisa la PCEA katika parokia ya Baraka huko Rongai kaunti ya Kajiado wamepinga vikali pendekezo la Serikali kujenga Nyumba za Bei nafuu kwenye ardhi wanayodai ni yao