Viongozi wa pwani wataka serikali kukamilisha miradi ya maendeleo

  • | Citizen TV
    779 views

    Baadhi ya viongozi wa kutoka pwani wanaishinikiza serikali kukamilisha miradi ya maendeleo ili kuongeza nafasi za ajira.