Viongozi wa Samburu wasisitiza umuhimu wa ushirikiano

  • | Citizen TV
    169 views

    Viongozi Wa Kaunti Ya Samburu Wamesisitiza Haja Ya Kushirikiana Kwa Pamoja Ili Kufanikisha Maendeleo Kwenye Kaunti Hiyo Iliyosalia Nyuma Kimaendeleo. Viongozi Hao Wamedai Siasa Hasi Imekuwa Ikilemaza Maendeleo Ya Kaunti Hiyo, Hivyo Ushirikiano Wao Utasaidia Pakubwa Katika Utendakazi Wao. Mwanahabari Wetu Bonface Barasa Anaarifu Zaidi.