Skip to main content
Skip to main content

Viongozi wa serikali wamshambulia Uhuru Kenyatta

  • | Citizen TV
    7,531 views
    Duration: 3:01
    Viongozi wanaounga mkono serikali wameendelea kumkashifu Rais mstaafu Uhuru Kenyatta, wakimshutumu kwa kile wanachodai ni kufadhili kampeni za upinzani za kumpinga Rais William Ruto na kuhujumu serikali yake. Viongozi hao wamemtaka Kenyatta kuheshimu ustaaafu wake, huku wakiendelea kuwakosoa viongozi wa upinzani.