Viongozi wa serikali wasema wataendelea na michango

  • | Citizen TV
    851 views

    Viongozi wanaoegemea serikali sasa wametetea vikali michango wanayofanya sehemu mbali mbali humu nchini, wakisema kuwa hawana makosa kuimarisha maisha ya wakenya. Katika michango waliyofanya Makueni na Bungoma, viongzi hao wamemshutumu vikali aliyekuwa naibu rais Rigathi Gachagua wakisema anaendeleza siasa mbaya.