Viongozi wa serikali wataka Gachagua akamatwe

  • | Citizen TV
    5,333 views

    Viongozi wanaoegemea serikali sasa wanataka baadhi ya viongozi wa upinzani kukamatwa, kwa madai ya kufadhili uharibifu ulioshuhudiwa wakati wa maandamano siku ya Jumatano.