Viongozi wa Supkem Garissa wawashtumu viongozi

  • | Citizen TV
    160 views

    Baraza kuu la viongozi wa dini ya kiislamu - SUPKEM limekashifu matamshi ya baadhi ya wabunge kutoka eneo la Kaskazini Mashariki ambao wamehusisha baraza hilo na tuhuma za ufisadi kutokana na malipo ya usafiri wa mahujaji mwaka huu