- 662 viewsDuration: 1:46Baraza kuu la viongozi wa dini ya kiislamu - SUPKEM limekashifu matamshi ya baadhi ya wabunge kutoka eneo la Kaskazini Mashariki ambao wamehusisha baraza hilo na tuhuma za ufisadi kutokana na malipo ya usafiri wa mahujaji mwaka huu