Viongozi wa Tana River wataka waandamanaji kukamatwa

  • | Citizen TV
    274 views

    Viongozi wa kaunti ya Tana River wameunga mkono hatua ya serikali ya kuwakamata na kuwafungulia mashataka viongozi wa Azimio wanaotumiwa kuongoza na kufadhili maandamano yaliyofanyika wiki hii.Wakiongozwa na Seneta wa kaunti hiyo Danson Mungatana, viongozi hao wanasema ni sharti viongozi hao kuwajibika kwa hasara ya mali na maisha kupotea kutokana na purukushani hayo ili kuleta nidhamu kwenye siasa.