Viongozi wa Trans Nzoia watakiwa kusitisha makabiliano

  • | Citizen TV
    196 views

    Viongozi kutoka kaunti ya Trans Nzoia wanawataka wanasiasa wenzao kujihusisha na masuala ya maendeleo na kusitisha uhasama wa kisiasa unaochangia kupanda kwa joto la kisiasa katika eneo hilo. .