Viongozi wa tume ya mshikamano wa kitaifa watoa onyo kuhusu visa vya vurugu na uchochezi

  • | K24 Video
    70 views

    Msajili wa vyama vya siasa, Anne Nderitu, viongozi wa tume ya mshikamano wa kitaifa na wizara ya usalama wa ndani wanaonya kuwa visa zaidi vya vurugu na uchochezi huenda vikashuhudiwa kabla na baada ya uchaguzi endapo hali iliyoko haitadhibitiwa mapema. Viongozi hao wanataka mikakati ya kuhakikisha kunakuwa na utulivu wa kisiasa ipangwe sasa.