- 1,140 viewsDuration: 2:25Viongozi wa Chama cha UDA sasa wanadai kuwa chama hicho kina umaarufu mkubwa katika Kaunti ya Kajiado baada ya kushinda uchaguzi mdogo wa Wadi ya Purko, ambao ulishuhudia ushindani mkali kati yao na Chama cha DCP. Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows. Website: ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya