- 1,404 viewsDuration: 2:26Baadhi ya viongozi wa chama cha UDA wakiongozwa na Naibu Rais Kithure Kindiki wametetea vikali kiti chake cha naibu rais wakidai kwamba chaguo lao ni Kindiki licha ya Chama cha ODM kumezea mate kiti hicho. Waziri wa afya Aden Duale amesema kwamba ushindi wa UDA katika chaguzi ndogo zilizokamilika ni kionjo tu kwa wapinzani wao