Viongozi wa UDA wawaria wakenya kukumbatia mazungumzo

  • | Citizen TV
    855 views

    Mazungumzo ya kitaifa yatakayohusisha wadau mbalimbali pia yameungwa mkono na viongozi wa kenya kwanza kutoka eneo la bonde la ufa ambao wanasema kuwa mazungumzo hayo yatachangia kukwamua uchumi na kukuza utangamano na umoja wa taifa wakitaka pia viongozi wa upinzani kuteuliwa katika nyadhifa mbalimbali serikalini