Viongozi wa Ukambani wamsuta Gachagua

  • | Citizen TV
    571 views

    Baadhi ya washirika wa Rais William Ruto kutoka Ukambani wamemkashifu vikali aliyekuwa Naibu Rais Rigathi Gachagua wakimtuhumu kwa kueneza uongo dhidi ya utawala wa Kenya Kwanza