- 13,548 viewsDuration: 7:01Siku moja baada ya mkutano wa upinzani eneo la Kisii kukumbwa na ghasia baada ya makundi mawili kukabiliana, viongozi hao wakiwemo Kinara wa Jubilee Fred Matiangi, Rigathi Gachagua wa DCP na kiongozi wa Wiper Kalonzo Musyoka wanaendelea na mikutano yao. Hii leo wanatarajiwa kufanya mikutano ya hadhara katika maeneo mbalimbali ya eneo hilo.